So tell miii if yu can beat this jokes jaribuini none yall can beat this mchongoanoz i guarantee yalll...ok so yea they a little old but still funni..lolz

1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga, dirisha zinakuwa tinted!

2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate, ati 'THU' hii hao (HOUSE) ni noma.

3. Vile wewe mfupi, ukipigwa picha ya passport inatokea full.

4. Kwenu nyi wakristu hata dogi zenu zikiona mwizi anaiba, zinawaambia "wee iba tu Mungu anakuona."

5. Ati hao(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.

6. We' ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement(sakafuni) miguu ina hang kwa hewa.

7. We mjinga mpaka ulifail blood test.

8. Wewe ni mblack mpaka mosquito ikitaka kukuuma lazima itumie torch.

9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mala (MGANDO/MTINDI).

10. Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint za blak kwa makaa.

11. Nyanyako(bibi yako) mzee mpaka chawa za nywele yake hutembea na bakora.

12. Ati nyinyi ni wengi nyumbani kwenyu yaani buda(baba) yenu hajui majina mpaka huwa address kama wananchi. (KAMA RAISI ANAPOTOA HOTUBA)

13. TV yenyu ni Ndogo lazima ufunge jicho moja ndio uone picha.

14. Wewe mblack mpaka unasweat soot.

15. Wewe mnono mpaka ukivaa yellow watoto wanafikiria ni schoolbus.

16. Manzii wako ni m ugly mpaka alikataliwa ku act horror(movie ya kutisha) Hollywood.

17. Nyumba yenyu ni ndogo mpaka lazima utoke nje kuchange mind.

18. Kwenyu nyinyi ni wengi mpaka kwa hao(house) kuna round-about.

19. Kwenyu nyinyi ni wa daft (WAJINGA) mpaka kupata driving license ilibidi mpelekwe boarding school.

20. Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumianga kama steel wool.

21. Mko wengi kwa hao(house) mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam.

22. Wewe ni mshort mpaka ukishuka kutoka kwa zile vitanda double decker lazima utumie parachute.

23. Ati TV yenu ni ndogo hadi wasee wa news huanza kwa kusema ..ati Munatuona jamani?

24. Sistaako ni ugly mpaka monkey ikampatia ndizi.

25. We mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakushow good evening?

26. Ngombe yenu mzee mpaka inatoanga yogurt

27. Kwenu kumekauka mpaka ngombe yenu hutoa milk powder.

28. Wee ni mzee mpaka ukiumwa na mosquito zina tema mate

29. Paka yenu noma mpaka iki shika panya inaitisha chumvi, fork na pilipili.

30. Kwenu nyinyi ni wengi mpaka mkipigwa family photo wengine wanatokea kama wame hang(ning'inia) kwa frame.

31. TV yenu ndogo mpaka wasee wa News(watangazaji wa habari) wame piga magoti.

32. We mrefu mpaka ukianza kuvaa underwear mbichi by the time ifike kwa magoti ime kauka.

33. Nyumba yenu ni chafu mpaka cockroach huvaa slippers(malapa).

34 . Budako(baba yako) ni fala, alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema, sitaki hiyo, imetoboka

Views: 22

Comment

You need to be a member of Kenyanizer to add comments!

Join Kenyanizer

Comment by jo on October 1, 2009 at 5:42pm
budako mrefu akikalia kiti ya nyuma kwa kbs (bus) magoti zinafika kwa steering.
Comment by natty(staff) on June 3, 2009 at 1:10pm
lol @ti mwafrika...kweli hiyo ni maendeleo
Comment by wilson chege maina on June 3, 2009 at 12:51pm
enyewe atleast zimenibring closer to home.
Nilisikia ati siku hizi watoi kenya wameimprove dubbing skills,wamewacha kutumia mwakenya kudub exam ati wana use mwafrika.is that true?
Comment by Gideon boot on May 30, 2009 at 2:30pm
Tv yenu ni old mpaka mandai za safari rally zikipita zinaacha dust kwa keja!
Comment by Oness on May 17, 2009 at 10:51am
haha...lmao...whether old or not, they still make my ribs hurt....

Events

© 2012   Created by Kenyanizer.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service